• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ludewa District Council
Ludewa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Samaki
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Huduma za UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Kazi za Mwenyekiti Ofisini
  • Miradi
    • Miradi Iliyo Kwenye Mpango
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Picha

MWENGE WA UHURU KUWASILI WILAYANI LUDEWA TAREHE 20-09-2019

18 September 2019

Wilaya ya Ludewa Katika Maandalizi Kabambe ya Kuupokea Mwenge wa Uhuru. Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ipo kwenye maandalizi kabambe ya kuupokea Mwenge wa Uhuru unaotarajiwa kufika Wilayani hapo mnamo Tarehe 20-09-2019. Mwenge wa Uhuru utapokelewa katika Kata ya Lupanga Kijiji cha Lusala ukitokea katika Wilaya ya Makete. Unatarajia kuzindua Miradi Kadhaa ya Kimaendeleo kama Vile Shule na Zahanati. Pia utakagua mradi wa umeme wa maji unaotarajiwa kuzinduliwa mapema mwaka huu 2019. Katika kufanikisha zoezi hili, Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya imeweka mikakati kabambe ikiwemo kutembelea na kukagua mara kwa mara shughuli zitakazopitiwa na Mwenge ili kuhakikisha fedha zinazotumika kujenga miradi  hiyo zinakuwa na thamani halisi ya fedha za wananchi (Value for money). Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya hiyo pia amewaagiza Wakuu wa Idara na Vitengo kuhakikisha shughuli zote hazikwami ili wananchi wapate huduma zilizokusudiwa na Serikali katika kuanzisha na kutekeleza miradi hiyo. Mwenge wa Uhuru mwaka 2019 Wilayani Ludewa utahitimisha ziara kwa mkesha utakaofanyika katika Kata ya Mavanga. Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mheshimiwa Andrea Tsere amewaasa wananchi kujitokeza kwa wingi kuupokea Mwenge wa Uhuru ili waweze kujipatia Elimu ambayo imekuwa ikitolewa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge na Wakimbiza Mwenge kuhusu masuala mbalimbali kama vile umuhimu wa kuhifadhi vyanzo vya maji, na kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu mwezi Novemba.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUUZA KIWANJA KIMOJA KWA MATUMIZI YA UJENZI WA KITUO CHA MAFUTA NA VIWANJA TISA KWA AJILI YA MAKAZI/BIASHARA January 22, 2021
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SERIKALI December 15, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA December 19, 2020
  • Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 2019:OR-TAMISEMI yatoa tangazo la mchakato mzima wa Uchaguzi August 31, 2019
  • Tazama zote

Habari za Punde

  • Wakuu wa Idara/Vitengo vya TEHAMA Serikalini Wajengewa Uwezo Juu ya Sheria ya Mamlaka ya Serikali Mtandao

    September 25, 2020
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA

    September 22, 2020
  • HABARI PICHA JUU YA NAMNA YA KUHAKIKI TAARIFA ZA MPIGA KURA KWA NJIA YA SIMU.

    April 27, 2020
  • HABARI PICHA KATIKA JUHUDI ZA KUKABILIANA NA COVID-19

    March 26, 2020
  • Tazama zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Dira na Dhima
  • Utawala na Rasilimali Watu
  • Historia
  • Misingi Mikuu
  • Orodha ya Madiwani
  • Miradi Iliyokamilika

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais IKULU
  • Tovuti Kuu ya Wananchi
  • Wizara ya Afya
  • Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  • TANePS

Wanaotembelea Tovuti

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ludewa - Njombe

    Sanduku la Barua: 19

    Simu: 026-2790120

    Simu ya Rununu:

    Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2019Ludewadc . All rights reserved.