• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ludewa District Council
Ludewa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Samaki
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Huduma za UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Kazi za Mwenyekiti Ofisini
  • Miradi
    • Miradi Iliyo Kwenye Mpango
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Picha

Jinsi ya Kupata Salary Slip Kwa Watumishi wa Umma

Ili uweze Kujipatia Hati ya Malipo ya Mshahara "Salary Slip" kwa Watumishi wa Umma, baada ya kuingia katika Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

Nenda palipoandikwa Nifanyeje na ubofye - "Jinsi ya Kuweza Kupata Salary Slip Kwa Watumishi wa Umma"  

Ukishaingia ndani ya Ukurasa wa "Jinsi ya Kuweza Kupata Salary Slip Kwa Watumishi wa Umma"

Bofya HAPA: SALARY SLIP YA MWEZI. Lakini kama ni Mtumiaji wa Huduma hii kwa mara ya kwanza; Fuata maelekezo baa aya Picha hii hapo chini.

Kwa kubofya "Salary Slip ya Mwezi", Itakuelekeza moja kwa moja kwenye sehemu ya Kujisajili ambayo ni nyepesi kama inavyoonekana katika Picha hapa chini:

Kisha Fuata Hatua kadhaa chache zifuatazo:

Kama ndio mara ya kwanza Kuingia katika Ukurasa huu wa Wizara ya Fedha, Msaada Binafsi wa Salary Slip (Salary Slip Self Service);

1. Bofya Palipoandikwa "Register" ili uweze kujisajili kutumia huduma hii.

Bofya HAPA Ujisajili

2. Ama la, kama tayari ulikwisha jisajili hapo awali; 

Bofya HAPA Uweze kuingia "Log In"

          (a) Andika Jina lako ulilosajili au Cheki namba

          (b) Andika Nywila "Password" yako

          (c) Bofya palipoandikwa "Sign In" ili uweze kuingia

3. Kama umesahau Nywila yaani "Password" bofya "Nimesahau Nywila" au "Forgot Password" ili upatiwe msaada wa kuibadilisha. Muhimu ni kukumbuka vitu muhimu siku ulipokuwa unajisajili, kama vile namba ya simu au barua pepe kwa sababu neno la kufungulia nywila mpya litatumwa huko.

Kwa Msaada zaidi, basi tembelea Tovuti : Wizara ya Fedha na Mipango moja kwa moja.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUUZA KIWANJA KIMOJA KWA MATUMIZI YA UJENZI WA KITUO CHA MAFUTA NA VIWANJA TISA KWA AJILI YA MAKAZI/BIASHARA January 22, 2021
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SERIKALI December 15, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA December 19, 2020
  • Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 2019:OR-TAMISEMI yatoa tangazo la mchakato mzima wa Uchaguzi August 31, 2019
  • Tazama zote

Habari za Punde

  • Wakuu wa Idara/Vitengo vya TEHAMA Serikalini Wajengewa Uwezo Juu ya Sheria ya Mamlaka ya Serikali Mtandao

    September 25, 2020
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA

    September 22, 2020
  • HABARI PICHA JUU YA NAMNA YA KUHAKIKI TAARIFA ZA MPIGA KURA KWA NJIA YA SIMU.

    April 27, 2020
  • HABARI PICHA KATIKA JUHUDI ZA KUKABILIANA NA COVID-19

    March 26, 2020
  • Tazama zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Dira na Dhima
  • Utawala na Rasilimali Watu
  • Historia
  • Misingi Mikuu
  • Orodha ya Madiwani
  • Miradi Iliyokamilika

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais IKULU
  • Tovuti Kuu ya Wananchi
  • Wizara ya Afya
  • Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  • TANePS

Wanaotembelea Tovuti

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ludewa - Njombe

    Sanduku la Barua: 19

    Simu: 026-2790120

    Simu ya Rununu:

    Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2019Ludewadc . All rights reserved.