• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ludewa District Council
Ludewa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Samaki
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Huduma za UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Kazi za Mwenyekiti Ofisini
  • Miradi
    • Miradi Iliyo Kwenye Mpango
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Habari Picha

DC LUDEWA AIOMBA MAHAKAMA KUTOA ELIMU YA SHERIA KWA VIONGOZI WA KATA NA VIJIJI

tarehe Iliyowekwa: February 1st, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva leo Februari 01, 2023 amekuwa mgeni wa heshima katika Maadhimisho ya kilele cha siku ya Sheria Nchini, kiwilaya yamefanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.

Aidha Mhe. Victoria ameipongeza mahakama ya Wilaya ya Ludewa kwa kutoa elimu ya Sheria kwa wananchi na kushiriki shughuli mbalimbali za kijamii kuelekea kilele cha wiki ya sheria nchini ikiwemo, utoaji wa elimu ya Kisheria pamoja na Michezo mbalimbali.

Kwaupande wake Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Ludewa Mhe. Isaac Ayeng’o wakati akitoa Taarifa ya mafanikio ya matumizi ya TEHAMA katika shughuli za kimahakama amesema kuwa “Mahakama kupitia mtandao yake inawawezesha wateja wa mahakama wenye KOMPUTA, VISHIKWAMBI PAMOJA NA SIMU JANJA kuweza kupata taarifa mbalimbai za mahakama”.

Ameongeza kuwa, kwasasa mahakama inatoa huduma kwa njia ya TEHAMA ili kuongeza uwazi,kupunguza gharama wakati wa ufunguaji mashauri, kupata taarifa za mashauri, kufanya malipo ya ada za mashauri lakini pia mahakama imefanikiwa kusikiliza hukumu mbili kwa njia ya video mtandao (Video Conference).

Matangazo

  • TANGAZO LA USAILI MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 AGOST, 23 July 17, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAREHE 11-11-2021 October 27, 2021
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI III, NA WITO WA USAILI WA ANA KWA ANA KWA WALIOCHAGULIWA November 11, 2021
  • TAADHARI YA UGONJWA WA POLIO LUDEWA March 24, 2022
  • Tazama zote

Habari za Punde

  • MAANDALIZI YA MAPOKEZI YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2023 YAANZA LUDEWA.

    March 23, 2023
  • MKAKATI WA VIPINDI MAALUMU VYA KUIMALISHA HUDUMA ZA CHANJO WAJADILIWA LUDEWA

    March 22, 2023
  • ELIMU YA LISHE YAENDELEA KUTOLEWA KILA KATA LUDEWA

    March 21, 2023
  • SALAMU ZA POLE

    March 17, 2023
  • Tazama zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Dira na Dhima
  • Utawala na Rasilimali Watu
  • Historia
  • Misingi Mikuu
  • Orodha ya Madiwani
  • Miradi Iliyokamilika

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais IKULU
  • Tovuti Kuu ya Wananchi
  • Wizara ya Afya
  • Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  • TANePS

Wanaotembelea Tovuti

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ludewa - Njombe

    Sanduku la Barua: 19

    Simu: 026-2790120

    Simu ya Rununu:

    Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.